General Knowledge of WindSock: Uses and Importances

Windsock au Soksi za Upepo ni kifuata upepo au koni ya upepo. Ni mfano wa mfuko wa duara uliotengenezwa kwa kitambaa maalum chenye umbile la mfano wa Soksi kubwa. Windsock inaweza kutumika kama mwongozo wa msingi kuhusu uelekeo wa upepo na kasi sio kwenye viwanja vya ndege, bali hata kwenye viwanda hasa vya kemikali ambapo hutumika kutazama uelekeo hasa wakati wa hatari ya kuvuja kwa gesi. Marubani na waongoza Ndege hutumia kifaa hiki na vingine...